Usiku wa April 16, 2016, watu wangu waMwanza kwa mara ya kwanza kwenye stage Harmonize alikutana na watu wake kwenye shangwe na zile hits zake zaBado, Aiyola na nyingine, ikiwa ni mwimbaji wa kwanza kutambulishwa kwenye lebo ya WCB inayomilikiwa na mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz.
No comments:
Post a Comment