SLOBNEWS

Tuesday, 12 April 2016

Mtu mrefu duniani awasili Mauritius



Mtu mrefu zaidi duniani raia wa Uturuki Sultan Kösen aliye na urefu wa futi 8 na inchi 3 au mita 2.51 amewasilia nchini Mauritius leo asubuhi.
Sultan alilakiwa na umati katika kisiwa hicho cha bahari ya Hindi, kwa mujibu wa taarifa zilizowekwa kwenye ukusara wa facebook wa mtandao wa habari wa nchi hiyo.

Posted by Unknown at 21:44
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Sloboimage

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ▼  2016 (24)
    • ►  July (1)
    • ►  May (7)
    • ▼  April (16)
      • Mvua kubwa: Mafuriko Tanzania na Kenya
      • Lucy Kibaki afariki
      • Obama akataa pendekezo la Korea Kaskazini
      • Donald Trump kubadili sifa zake
      • Korea Kaskazini kulipua bomu la nyuklia
      • Harmonize alivyotoa Burudani ya nguvu kwa watu wa ...
      • Barabara ya kwanza ya juu kujengwa Dar-es-Salaam
      • Tetemeko la ardhi laua 9 Japan
      • Wanasayansi wagundua dawa 'inayorefusha maisha'
      • Barcelona yatupwa nje michuano ya Uefa
      • Je unataka kulipwa mshahara mkubwa ?Soma utafiti
      • Ndege za Marekani zaua al shabab Somalia
      • Watu 5 wauawa Ruyigi Burundi
      • Mtu mrefu duniani awasili Mauritius
      • Maduka zaidi ya 150 yateketea Tanzania
      • Wafuasi wa Machar wachapwa vibaya Juba
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.